Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Aibuu tupu!!! Nuhu Mziwanda na Shilole Wachafua Tena watu kwa Picha Zao Chafu mtandaoni


 
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

Kwanza kabisa kingereza kibovu,  pili picha chafuuu machoni kwa watoto wadogo mtandaoni, why? Why? Why?
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top