HEADLINES za ajali za mabasi TZ zimeendelea.. lakini wakati mwingine kumekuwa na uvumi wa mitandaoni, watu wanaambizana kuwa kuna ajali halafu PICHA ambazo zinatumiwa zinakuwa hazina uhalisia na tukio lenyewe.
Hizi zimeenea sana mitandaoni leo, nimeifuatilia na kupata undani wa taarifa yenyewe.. ni ajali iliyotokea Nzega, Tabora. RPC wa Tabora, Suzan Kaganda amethibitisha kutokea ajali hiyo, mtu mmoja amefariki na wengine 20 wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Air Jordan kupinduka.
Post a Comment