Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Diamond: Rais Anajuwa Mambo Mengi Kuliko Mimi Kwenye Muziki


Kijana huyu akihojiwa na Gadina wa Radio Efm kwenye kipindi cha Ubaoni amesema,Rais amempigia simu juzi na kumuliza saizi ya koti analovaa ili amletee zawadi kutoka Marekani. Pili amesema wakiongeaga na Rais huwa Rais anajuwa mambo mengi ya muziki huko Amerika kuliko yeye. Nimejiuliza hivi ni kweli Rais JK anaweza kufanya hivyo ukizingatia majukumu mazito yanayomkabili juu ya taifa na wananchi...
Read more
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top