Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni story ya
uzito wa juu kwenye kurasa za MICHEZO TZ.. moja ya story zilizo kwenye
kurasa za michezo leo ni ile inayosomeka hivi; “Pluijm: Nimebakiza mechi tatu kutangaza Ubingwa“– Hayo kayasema Kocha wa Yanga, unadhani yatatimia ??
Nimengia ukurasa wa Instagram wa Vodacom Tanzania nimekutana na hii post; “Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara#VPL2015 baada ya mechi ya jana. Timu yako ina pointi ngapi?“–@vodacomtanzania
Unaweza kucheki hapa mtu wangu, timu
yako iko nafasi ya ngapi? Ukiiona unaweza kuniandikia comment yako tuone
kama kuna matumaini ya kuuchukua Ubingwa wa #VPL2015
Post a Comment