Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

January Makamba kaguswa na ajali za TZ, amendika hizi Tweets 11 baada ya ripoti ya ajali ya leo..


Kumekuwa na ripoti ya habari za ajali mfululizo za magari TZ.. watu wengi wamefariki na wengine kupata majeraha kutokana na ajali hizo.
Ripoti ya Jeshi la Polisi iliyotoka siku chache zilizopita ilionesha kuwa Mwezi April  2015 umeongoza kwa kuwa na ajali chache lakini idadi ya watu waliofariki ni kubwa zaidi tangu mwaka 2015 uanze.
Naibu Waziri na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter, kuhusu kile ambacho aliwahi kupendekeza kifanyike ili kumaliza tatizo la ajali hizo.





Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top