
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole ‘Shishi Bybee’ amewataka watu wamuache afanye kile anachokitaka kwenye maisha yake na sio kumpagia aishi vipi. Shishi Bybee aliyasema hayo mara baada ya baadhi ya watu kumshambulia kwa maneno baada ya kuweka picha picha akiwa yupo kwenye bwawa la kuogelea. “Yaani watu mnapenda kunipa raha sana mimi mwenywe nimejikubali na mimi nipo swimming...
Post a Comment