Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Ubungo leo ilikuwa balaa!!! mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria..



Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya story kubwa ya mgomo wa mabasi ya abiria, nikasogea Kituo cha Mabasi Ubungo kuona hali ilivyo.
Vurugu kubwa zimezuka, yakachomwa matairi ya magari barabarani.. hakuna basi lolote la abiria kwenda mikoani lililokuwa limetoka wala hakuna daladala iliyokuwa ikipakia abiria katika eneo hilo.
Baada ya kuanza vurugu Polisi waliingilia kati na kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya.






Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top