"Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa
nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi
mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na
mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila
ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani
siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto.
"kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie...Au mnadhani
napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata
wa kusingiziwa...Mnaona nafurahia sio....Hivi mna nini jamani...Yaani
mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea
wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa
unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...Kwani kuna niliemkosea yoyote
mpaka muanze tu kunikashifu na kunitolea maneno mazito namna hio...
Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa
mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri
unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria
nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema
ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na
mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru
Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But
just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each
and everyone of u."
Post a Comment