1: Kuiga maisha ya watu wengine, Be Original Be Real
2: Kufanya ngono zembe kisha kujilaumu kwa matokea yake
3:Kusahau kwamba whats goes around comes around.Be Good to peole who deserve it
4:kusahau kujiwekea akiba na kutumia kila shilingi unayoipata
5:Kung’ang’ania marafiki ambao wanakupotezea muda na hawakusaidii chochote katika maisha yako
6:Kutumia pesa zako kwa mwanaume au mwanamke ambaye hatakuwa na muda mwigi na wewe katika maisha yako, No future
7:Kufikiria unatenda wema ili ulipwe , fanya uende zako,No disappointment.
8:Kuacha kujifunza mambo mapya na kujiona umefikia mwisho wa kujifunza
9:kusahau kutengeneza mahusiano mazuri na watu wanaokuzunguka
10:kulaumu watu wengine unapokosea kwenye maisha, Stand up for your self
11:kufuata mkumbo badala ya kuwa na msimamo Binafsi
12:Kuendelea kufanya kazi miaka na miaka kazi ambayo haikuongezei kitu chochote kichwani.
13:Kulirelax kama tayari umeshafanikiwa ka kila kitu maishani, unahitaji mapumziko? Angalia umeshafanya nini cha maana
14:Kusahau Familia yako, Ndugu na jamaa zako
15:Kufanya kila unachotaka kuwa mahitaji yako ya msingi, kwa mfano Starehe
16:Kujifanya hujali kwasababu eti we only live Once
17:Kutumia nguvu nyingi kutengeneza marafiki badala ya kutengeneza umaarufu
18:Kujaribu kujifanya umekuwa badala ya kukua ki ukweli
19:Kufikiria kuwa inakubidi uwe na mpenzi kwasababu tu umeona wenzako wanampenzi au kuoa au kuolewa,Usiangalie wenzako ndipo na wewe ukaamua hatima ya maisha yako,inawezekana unachokiona machoni si uhalisia wa jambo lenyewe, penda, oa , olewa, kwasababu unaona upo tayari sio kwasababu ya kufata mkumbo itakucost.
20:Kufanya kazi kwa ajili tu ya pesa wakati ki ukweli haikuwa ndoto yako maishani kufanya unachokifanya wakati unao uwezo muda na nafasi ya kufanya kitu cha ndoto yako na ukafanikiwa.
Binadamu wengi tumekuwa tukifanya makosa haya na ndio maana tumekuwa tunaishia njiani katika maisha yetu na kujikuta kuishi maisha ya kitumwa kwasababu tunaishi maisha ya watu wengine huku tunasahau maisha yetu na zaidi kuogopa watu watasema nini?
Loading...
Post a Comment