MENU
HOME
Drop Down 1
Element 1
Element 2
Element 3
Option 1
Option 2
Option 3
Drop Down 2
Element 1
Element 2
Element 3
Element 4
Contact Us
AMSHA EVENTS
Featured
Featured Posts
Social Icons
close(x)
Loading...
Home
»
udaku
»
WEMA ANABWIA UNGA!!
WEMA ANABWIA UNGA!!
Musa Mateja
PAMOJA
na mwenyewe kukanusha kuwa si mtumiaji wa madawa ya kulevya (unga), watu wanazidi kusema eti supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’ anatumia unga, Risasi Jumamosi limesheheni data.
Supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’.
UBUYU WAVUJISHWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Wema amekuwa akitumia kilevi hicho kwa muda mrefu huku akifanya jambo hilo kwa siri kubwa.“Hivi hamna habari ya Wema kubwia unga? Mbona kila mtu anajua, watu wengi tu wanafahamu lakini wanashindwa namna tu ya kumueleza mwenyewe ili aache maana kila mtu anamhofia si unamjua naye Madam mtu wa kumaindimaindi,” kilisema chanzo hicho.
MITANDAO YAKAZIA MADAI
Kama hiyo haitoshi, kwa nyakati tofauti, watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakidai kuwa staa huyo anabwia unga licha ya kuwa hawana ushahidi wa moja kwa moja.“Mimi sijawahi kumuona lakini kuna watu wake wa karibu tu wananihakikishia kwamba Wema anatumia madawa ya kulevya, ila naamini mwenyewe anaujua ukweli wote wa haya yanayosemwa,” ilisomeka sehemu ya maoni mtandaoni.
RISASI LAMFUNGIA KAZI
Baada ya kupata madai hayo, Risasi Jumamosi lilimfungia kazi Madam ili kuweza kumsikia anazungumziaje tuhuma hizo nzito.
Jumatano iliyopita, mwanahabari wetu alikwenda nyumbani kwa mwigizaji huyo mwenye mvuto wa kipekee, Mtaa wa Bwawani-Kijitonyama lakini bahati mbaya alikuwa ametoka kwenda kurekodi na hata alipofanya subira hadi jioni, bado hakurejea huku simu yake ikiita bila kupokelewa.
JITIHADA ZAIDI
Siku iliyofuata, mwanahabari wetu aliyeambatana na mmoja wa wahariri wa Global Publishers, walitia timu kwa mara nyingine nyumbani kwa Madam lakini pia mwigizaji huyo alikuwa ametoka lakini bahati nzuri alipopigiwa simu alipokea, mambo yalikuwa hivi:Risasi: Wema tumekutafuta sana hapa nyumbani kwako bila mafanikio tuna ishu ya msingi kweli tunataka kujua kutoka kwako?
Wema: Poleni, ishu gani?
Risasi: Tumepokea habari kuwa wewe unatumia madawa ya kulevya, umewahi kusikia hizi habari?
Wema: Ndiyo hizo habari nimewahi kuzisikia. Nakumbuka nilianza kuzisikia tangu kipindi kile mimi natembea na CK (yule kigogo wake), walivumisha sana lakini hakuna ukweli wowote.
ADAI WAMEMPONZA
“Tena imefika wakati wananikosesha hadi amani, imenifanya hadi niwe nakaguliwa kupindukia bila sababu za msingi, juzi hapa wakati naenda Mwanza (kwenye shoo ya Instagram), walinibana sana pale Air Port hadi nikataka kuachwa na ndege.
AISHI KWA TAHADHARI
“Yaani kwa sasa nimelazimika kuweka hadi ulinzi mkali pale nyumbani, maana huwezi jua watu wasionipenda wanaweza kuja wakanibambikia nikaonekana natumia kumbe sijui hata ukoje. Sasa hivi kila atakayeingia lazima akaguliwe, ahojiwe ndipo aingie.
ATAJA KUHUSISHWA NA ROMMY
“Kuna wakati walinitaja kuwa natumia kwa kuwa nina ukaribu na Rommy Johnson (binamu yake msanii Diamond) kitu ambacho nilikikanusha na ninaendelea kusema hakuna ukweli wowote.
MAMA’KE ARIPOTI POLISI
“Ili kuwataka watu wasinihusishe kwa namna yoyote na kujihadhari, tuliongea na mama, akaenda kutoa taarifa polisi Mabatini ili nisije kupata tatizo lolote linalohusishwa na madawa ya kulevya.”
RAFIKI ZAKE WANENA
Mwanahabari wetu aliwavutia waya marafiki wa Wema, Aunt Ezekiel na Martin Kadinda ambaye ni meneja wa mwigizaji huyo ambao kwa pamoja walidai hawajawahi kumuona Madam hata siku moja akibwia unga achilia mbali kukaa karibu na wabwiaji.
“Sijawahi kumuona Wema hata siku moja anatumia hivyo vitu (unga), watakuwa wanamzushia ili watimize azma yao ya kumchafua si unajua si wote wanampenda?,” alisema Aunt huku Martin akikazia:“Hakuna kitu kama hicho, Madam hatumii bwana, sisi tupo naye, tunafanya naye kazi siku zote, hatujawahi kumuona, huo ni uzushi tu.”
Get Free Email Updates to your Inbox!
Rss
Twitter
FaceBook
Google +
Filed Under:
udaku
on Friday, 8 May 2015
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
Home
Total Pageviews
Home
Powered by
Blogger
.
Menu :
Choose category
burudani (22)
habari (2)
matukio (48)
michezo (27)
siasa (14)
udaku (163)
Labels
burudani
habari
matukio
michezo
siasa
udaku
Popular Posts
WANAWAKE WATATU WAFUMANIWA WAKISAGANA KATIKA PAKING YA GARI>>>>CHEKI PICHA 30 HAPA
NI ZAIDI YA LAANA HII 18+ AIBU KWA WATANZANIA:VIDEO YA WANAWAKE WACHEZA KAMA WALIVYOZALIWA (UCHI WA MNYAMA) MCHANA KWEUPEEEEE!!
LAANA TUPU...!! PICHA ZA UCHI ZA BINTI WA KIBONGO ZAVUJISHWA NA BOYFRIEND WAKE MTANDAONI...ZITAZAME HAPA
Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua.... Katika uchunguzi wetu, mtandao huu um...
UTAMU WA UFUKWENI: WAREMBO WAKIWA NUSU UTUPU BAHARINI WAKICHEZA. TIZAMA MAPICHA HAPA!!
KING MSWATI ACHAGUA MKE MWINGINE,KULIKUWA NA FOLENI YA MABINTI WAREMBO HASWAA,NI SHIIDA ANGALIA HAPA
POMBE MBAYA CHEKI PICHA ZA WAREMBO WA TAUNI WAJIANIKA BAADA YA KULEWA TAZAMA HAPA
BOFYA MAHANDISHI YA BLUE HAPO CHINI KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Housegirl mwingine kanaswa kwenye kamera Kenya akimlazimisha mtoto kumnyonyesha maziwa yake, amsha na video ya tukio
Mwaka jana kuna tukio lililoshtua wengi duniani na kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari kuhusu msichana Jolly Tumuhiirwe wa U...
OGM! .....Irene Uwoya Releases Sexy Photos while Taking a Shower in a Bathtub
Katika instagram star wa bongo move Irene Uwoya Ameshea Hizi Picha Akiwa Mtupu Bila Ata Kipande Cha Nguo Kwenye Kifua Chake.....
DUNIA IMEKWISHAAA>>>WACHEKI HAWA WAREMBO WAKISAGANA LIVE
Kwa kipindi hiki vitendo vinavyoenda kinyume na maadili ya Kiafrika zinaonekana kushamiri kwa kasi sana, imejitokeza tabia ya wasichana ...
KUTANA NA KITI AMBACHO KINAONGOZA KWA KUFANYIWA NGONO NA WATU MBALIMBALI BILA KUJARI KUWA KIPO AZALANI>>>CHEKI PICHA 50 ZIKIONYESHA UTAMU WA ICHO KITI
Categories
burudani
habari
matukio
michezo
siasa
udaku
© Copyright
AMSHA EVENTS
| Distributed By
Blogspot Templates
Post a Comment