Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji
mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia
miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.
Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila
dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji
masikhara wala kebehi, Acha email yako ama simu mwenyewe ntawasiliana
nanyi....asiyehusika please naomba apite kimya kimya
N.B:kupima HIV ni muhimu sana.
Loading...
Post a Comment