Ni
muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupeda
kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara
ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini iliuweze kuziona na haraka
kumtolea uvivu huyo mwanamke.* Mwanamke anayekupenda atahangaika juu
yako,atahangaika juu ya usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo
yako.Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke huyoanaupendo na
wewe.* Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,Wivu ni ishara
kuwa anakupendawewe na anataka akulinde usiibiwe au asije
akakupoteza,anaogopa usije ukatokakatika maisha yake,au kwa maneno
mengine usije ukamtoa moyoni mwako na nafasi yake ikachukuliwa.Japo wivu
ukizidi sana pia inaweza kuleta tatizo.* Mwanamke anayekupenda
atakapokuwa mbele ya marafiki zake au watu wengine atacheka nao
lakiniatakugeuzia ww macho/uso wake haraka sana. Kufanya hivi ni
kuonyesha kuwa anakuhesabia ww kuwa utaweza kumletea furaha katika
maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuonakuwa yeye ni
mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.* Mwanamke
anayekupenda ataendelea kukuangalia usoni kwa muda mrefu kuliko ilivyo
kawaida ya wanawake wengine,mara nyingi atakuangalia nakutabasamu
vizuri. Hii huenda ni ishara moja muhimu sana ya kukuambia kuwa “NJOO
NIKO KWAAJILI YAKO.”Hivyo kama ulikuwa unahisi unamhitaji basi ni wakati
mwafaka wa kumfuata na kumweleza ukweli na kirahisi nakuhakikishia
unabeba mzigo kwani ni mtu tayari aliyekuwa anahisia kali za mahaba juu
yako
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Tuesday, 25 August 2015
Post a Comment