1. Amesimulia sakata zima la Richmond kwa kudai
kuwa wakati likiwakilishwa bungeni kulikuwa na ripoti mbili.
Moja ya kumchafua Lowassa na ya pili ikidai Kikwete ndo
mhusika wa Richmond
Amesema aliyekuwa akipinga ujio wa Lowassa Chadema ni Baregu na siyo Dr Slaa.
Amesema aliyekuwa akipinga ujio wa Lowassa Chadema ni Baregu na siyo Dr Slaa.
2. Amesema kamati kuu ya chadema ilijiridhisha kuwa
Dr Slaa asingeweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu kama
angesimamishwa kuwa mgombea wa urais
3. Amedai kilichomponza Slaa ni mkewe ambaye alikuwa na uchu wa kuwa first lady
4. Baada ya hapo,Slaa alianza kampeni za kumpinga
Lowassa ili ateuliwe yeye. Alimtuma Sugu aende Mbeya akawaambie
waumini wa makanisa yote kuwa wao wanamtaka Slaa na sio Lowassa,
lkn Sugu Alikataa.
5. Slaa pia alijaribu kumrubuni Tundu Lissu atangaze
kumpinga Lowassa lakini naye alikataa pia na kujikuta akibaki
peke yake, hali iliyomfanya ajivue uanachana
6. Amesema Slaa alikuwa Padri akaasi,alikuwa na mke
akaasi, alikuwa CCM akajitoa, je ana principle gani za kuwashawishi
watanzania wamuamini?
Dr Slaa ni msaliti na anatumia umaarufu wake vibaya
Dr Slaa ni msaliti na anatumia umaarufu wake vibaya
7. Slaa anadai kuwa nyaraka za Richmond alipewa na
Mwakyembe, lakini ukweli ni kuwa mwakenye hawezi kuwa mtu sahihi wa
kutoa nyaraka za Richmond kwa sababu wakati wa Ripoti hiyo,
Mwakyembe alikuwa na kampuni yake ya kufua umeme ambayo alitaka
ipite. Baada ya kukwama ndo akaanza ugomvi na Lowassa
Post a Comment