Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Ajali>>>> imetokea leo Morogoro..


Stori za ajali Tanzania zimekuwa kwenye headlines nyingi.. cha kushtua zaidi ni kwamba ajali hizi zimetokea mfululizo sana, watu wengi wamefariki, wengine wengi majeruhi.. mara nyingi mwendokasi umehusshwa sana na hizi ajali.
Leo iko hii kutoka Morogoro, watu 15 kujeruhiwa na wengine zaidi ya 50 wamenusurika katika ajali ya basi la Takbir lililokuwa likitokea Geita kuligonga basi la kampuni yaAbood katika eneo la Lubungo Mikese.
Majeruhi wa ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali ni  dereva wa basi la Takbir kutokuwa makini na kuendesha gari kwa mwendokasi.. baada ya ajali hiyo dereva huyo alikimbia.
Kamanda wa Polisi Morogoro, Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top