Kampeni nyingi zimefanyika duniani kulaani tukio la wanafunzi wa kike zaidi ya 270 kutekwa na kundi la kigaidi la Boko Haram ni mwaka mmoja umepita, wasichana hao walitekwa toka Shuleni Jimbo la Chibok, Nigeria.
Rais aliyechaguliwa kuongoza Nigeria, Rais Buhari moja ya vitu alivyosema ni kwamba hawezi kuahidi kwamba atahakikisha wasichana hao wanapatikana ila atafanya jitihada zote mpaka wapatikane.
Msemaji wa Jeshi la Nigeria amesema wanawake hao na mabinti walikutwa katika kambi nne tofauti baada ya Wanajeshi kuzishambulia kambi hizo.
Post a Comment