Chid Benz ameamua kuonyesha ukali wake kwa mara nyingine tena na hii
kawahusisha wakali wengine wa hiphop Nikki Mbishi na One,wimbo huu
umeanza kutengenezwa ka Lamar kisha umemaliziwa kwa Songa.
Wimbo unaitwa Yeah
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
burudani
on Tuesday, 14 April 2015
Post a Comment