Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Jeshi La Police Limekamata Milipuko Morogoro....

Baada ya taarifa kuenea mitandaoni kwamba kuna tishio la baadhi ya maeneo Tanzania kuvamiwa na kushambuliwa na magaidi.. tahadhari zimetolewa watu kuwa makini na matukio ambayo yana dalili za matukio ya aina hiyo, lakini taarifa ambayo imeripotiwa kutoka Morogoro muda inahusu ishu ya watu kukamatwa wakiwa na milipuko.
 Watu waliokamatwa na milipuko hiyo wako tisa ambapo Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata wote wakiwa ndani ya msikiti uliopo Kidatu, Kilombero Morogoro.

Chochote Kitachojitokeza Katika Habari hii nitakuamshia hapahapa
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top