TANGAWAZI
Tangawizi Ni Moja Ya Chakula Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi Na Ukatumia Kwa Kuinywa Kama Chai Asubuhi, Mchana Na Jioni Pia Tangawizi Unaweza Ukaitumia Katika Mchanganyiko Wa Kiasili Kwa Kutumia Habat Soda,Asali,Kitunguu Saumu Na Tangawizi Yenyewe.
JINSI
YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:
Chukua
Tangawizi Na Kitunguu Saumu Vitwange Kisha Vichanganye Na Asali Pamoja Na Unga
Wa Habat Soda Na Uwe Unakunywa Mchanganyiko Huu Kwa Kutumia Kijiko Cha Chai
Kimoja Kutwa Mara 3 Kwa Muda Wa Wiki Moja Na Utaona Mabadiliko
-Chakula Kingine Kinachosaidia
Katika Upande Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Ni Tunda La Tikiti Maji, Unaweza
Ukachukua Tikiti Lako Ukalikata Na Kutengeneza Juice Ya Tikiti Kisha Unakunywa
Ila Sio Lazima Utengeneze Juice Hata Lenyewe Tu Unaweza Ukalila. Ila Jitahidi
Kutumia Tunda Hili Hata Kila Siku Kwani Linasaidia Sana Kwa Wenye Matatizo Ya
Nguvu Za Kiume.
Papai hujulikana kwa Lugha nyingine
kama Papaya, Paw Paw, Papaw, Tree Melon (botanical name Carica Papaya), lina
umbo kama Yai la kuku na langi ya kijani manjano, manjano ama rangi ya chungwa
lililoiva vizuri.
Papai ni Tunda la mti aina ya mpapai
na linaweza kufikia uzito wa kilo mbili na nusu 2.5kg. Kawaida huwa na Radha ya
Uchungu Utamu na lina asili ya Ukanda wa Tropiko na maeneo yenye Unyevu mfano
Mexico, Amerika ya Kati, Afrika, Asia, Australia nk
FAIDA ZA PAPAI
-Huboresha Afya ya mwili na kuufanya
kuwa na nguvu ya kutosha kwa muda mrefu ·
-
Huchochea uimarishwaji wa Misuli ya
mwili · -Husaidia Mfumo wa mzunguko wa Damu. ·
-Husaidia Uimarishwaji wa Kinga ya mwili ·
-Husaidia Mfumo wa Umeng’ennyaji wa Chakula na hasa Protein na Huleta
Muongezeko wa Uzalishaji wa Vimeng’enya, katika usagaji Chakula. ·
Parachichi ni
tunda maarufu zuri, tamu na lenye manufaa mengi kwa afya ya mwanadamu.
FAIDA ZA PARACHICHI
Tunda
hili husaidia kuondoa upungufu wa damu mwilini. Pia kutoa tatizo la tumbo
yabisi, kukausha na vidonda vya tumbo, figo, ini, na magonjwa ya ngozi, nguvu
za mwili, ubongo, mfumo mzima wa fahamu kwa kurudisha neva za fahamu, kujenga mifupa na kukufanya uweze kuona
vyema. Kadhalika,, matatizo ya kichwa,
koo, tumbo, mapafu nk.
MATUMIZI YAKE KWA TIBA
Ponda ponda mbegu za parachichi, anika vizuri ikauke,weka vijiko viwili vya chai katika uji mara tatu kwa kutwa, na fanya hivyo kwa muda wa wiki moja, ( siku 7). Chemsha majani yake kama chai na jaza kwenye kikombe kimoja na tumia kutwa mara tatu kwa siku zote. Kwa njia hii utasaidia kuondoa matatizo ya uchovu, udhaifu na kujisikia vibaya.
FAIDA ZAKE
Majani yake yakitafunwa hutibu vidonda vya kinywani hususani fizi,
kuimarisha meno na kuondoa maumivu.
Mbegu yake ikikaangwa na kusagwa kidogo huondoa shida ya kukwama kwa mkojo.
Weka vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha chai ya moto, koroga na kunywa.
Kwa ajiri ya yabisi tumbo, paka na sugua mahali panapouma. Pia, paka
kichwani kama nywele zako zina tatizo la
kukatikakatika. Pia , inasaidia kukuza nywele.
Wengi
wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na
kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli
karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake
1.Kupambana na Magonjwa ya Moyo.
Kama
ilivyokuwa kwa korosho, karanga nazo ni chanzo kizuri cha mafuta mazuri
aina ya ‘monounsaturated fats’ ambayo yanatiliwa mkazo kutumiwa kwa
afya ya moyo.
Kwa mujibu wa utafiti, watu wanaokula karanga mara kwa
mara hupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo (cardiovascular
heart disease) kwa asilimia 21.
Kwa muda mrefu maboga yamekuwa yanajulikana kwa kuwa
na uwezo mkubwa wa kutumika kama dawa, vilevile chakula hicho kina protini
yenye nguvu ambayo inaweza kupambana na magonjwa mbalimbali yanayotokana na
kuvu au fungus.
INASAIDIA NINI?
inapambana vilivyo na ugonjwa unaosababishwa kuvu au
fungus wa sehemu za uke (Vaginal yeast infection).
Vilevile michubuko
inavyotokana na mkojo au nepi (diaper rashes) pamoja na matatizo mengine ya
kiafya.
Protini hiyo ya Pr-2 iliyoko kwenye maboga halikadhalika inazuia aina
10 za fungus au kuvu ikiwemo aina hatari ya fungus wajulikanao kama Candida
Albicans.
Fungus hao ni maarufu kwa kusababisha matatizo kwa watu wenye ugonjwa
wa kisukari na kupelekea kupata fungus midomoni, katika ngozi, chini ya kucha
pamoja na katika mfumo mzima wa mwili.
Waaalamu wana matumaini kuwa, protini hiyo inayopatikana kwenye maboga inaweza
kupelekea mafanikio ya kutengezezwa tiba asilia ya kupambana na magonjwa ya
kuvu au fungus.
Sasa basi kwa kutizama aina za matunda
hizo hapo juu ambazo LUPIMO SANITARIUM CLINIC tunakushauri uzitumie
zitakusaidia kuondolea kabisa tatizo lako la nguvu za kiume kwa ushauri
zaidi juu ya tatizo lako fika ofisini kwetu tupo kihesa Iringa mjini
njoo tukusaidie.
Post a Comment