Ewe
dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia
kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa
ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila
unafikiria kutumia siku moja, angalia hapa halafu utapata jibu utumie au
ubaki na maumbile yako ya halisi.
CREDIT: FAKHI KARUME/WANABIDII
MY TAKE:
Ole
wenu mnaopenda kumkosoa Mungu kwanamna alivyowaumba. Madhara yake
yanaonekana hapa hapa. Kwa nini usiridhike na ulivyo? Unanunua uzuri ili
iweje? Hakika 'ukitaka uzuri, lazima udhurike', matokeo yake ndiyo
haya. --- Admin
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, 30 August 2015
Post a Comment