Ukipata mchumba hasa mmachame wanafamilia wanakuwa wagumu kubariki
mahusiano yenu.Hii imetokana na baadhi ya jamii kutendwa baada ya kuoa
wachaga.Lakini naamini kuna baadhi ya dada zangu wa kichaga ni wema
kabisa na wanamtegemea Mungu na upendo wao unaweza kufuta mabaya
yaliyojengeka ktk jamii zetu kwa vizazi vilivyopita.
Hapo awali wanaume wa kikurya walikuwa wanaogopwa na mabinti wengi sana
kwa sababu ya kutoa kichapo lakini siku hizi baada ya jamii kuona baadhi
ya wadada wameolewa na watu hao na wamepewa mapenzi ya dhati jamii
imewakubali.Leo hii ukipata mchumba wa kikurya halafu ukampeleka
nyumbani anakubalika.
Hivyo dada zangu jisafisheni kufuta mfumo dume uliojengeka ktk jamii pia mnaweza kutujuza tatizo liko wapi mpaka jamii inaogopa?
Loading...
Post a Comment