Staa
wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ambaye amejipambanua siasa kuwa
anaunga mkono madadiliko kupitia UKAWA na kushiriki katika harakati za
kumpigia kampeni Mh Edward Lowassa ambaye ni mgombea urasi kupitia UKAWA
kwa tiketi ya CHADEMA, amewatoa hofu mashabiki wao kuwa hakuna bifu
miongoni mwao kwani siasa zikiisha wataendelea na maisha yao kama
kawaida tofauti na baadhi ya mashabiki wanavyodhani hasa baada ya
wasanii hao wa bongo movies walivyotafautiana kimitazamo ya kisiasa
kwakipindi hiki hadi kufia kutoleana lugha kali miongoni mwao.
"Msijali Mashabiki siasa zikiisha maisha yetu yanaenda kama kawaida
Maana sisi zetu kamera siyo viti vyekundu ila hapa pipozii tuu paka
kieleweke"–Wolper aliandika kwenye mtandao wa instagram.
Pia kwenye moja ya posti zake wkkenyemtandao huo huo wolper alisisitiza kubaki kuwa team mabadiliko
“...Ni bora kuwa kaisari kuliko kuwa yuda mimi nitabaki kuwa Jacq Lowassa”
Loading...
Post a Comment