KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk.
Willibroad Slaa, (pichani) ambaye amekuwa ni kama alama ya chama hicho,
anaweza kuwa ndiyo mwisho wake kufuatia ujio wa Edward Lowassa
aliyejiunga Jumanne iliyopita na jana kuchukua fomu ya kuwania urais
kupitia Chadema jijini Dar es Salaam
SOMA HABARI KAMILI >>>>BOFYA HAPO CHINI
Post a Comment