Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Utafiti wa CCM kwamba Magufuli Anaongoza kwa 69.3% Unapingana na Uhalisia Uliopo...

January Makamba Akiongea na Waandishi wa Habari Nimekuwa nikifuatilia hali halisi ya mwamko wa kisiasa katika sehemu mbalimbali nchini, mijini na vijijini hata katika mitandao ya kijamii na kujionea jinsi UKAWA ikiungwa mkono na watu wengi mno.

"Utafiti wetu wa ndani, tulioufanya kwa kipindi cha siku kumi zilizopita katika majimbo 246 kati ya majimbo 269, unaonyesha kwamba Dr. Magufuli atapata ushindi wa asilimia 69.3 Tunaamini kwamba asilimia hizi zitaongezek kadri Watanzania wengi zaidi wanavyopata fursa ya kumsikiliza Dr. Magufuli na kusikiliza Ilani na sera za CCM"

inaonekana utafiti huu ulifanyika katika majukwaa ya kampeni za CCM kwa sababu matokeo yao yanapingana na hali halisi zikiwemo tafiti za maoni kupitia mitandao mbalimbali, kama vile


Inaonekana utafiti huu ulifanyika katika majukwaa ya kampeni za CCM kwa sababu matokeo yao yanapingana na hali halisi zikiwemo tafiti za maoni kupitia mitandao mbalimbali, kama vile
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana

Total Pageviews

Powered by Blogger.
Menu :
© Copyright AMSHA EVENTS | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top